nililala bila kula nikashinda bila kula waliponipa soda nikazimia







 

migogoro ya ardhi katika kijiji cha Kibuye wilayani Kibondo mkoani Kigoma bado ni changamoto kubwa hasa kutokana na wakulima na wafugaji kutotengewa maeneo, Nkumbi Lusana ni mmoja wa wananchi waliokubwa na changamoto hiyo 

Post a Comment

0 Comments