SHEREHE ZA SIMBA DAY NA UZINDUZI WA WIKI YA MWANANCHI ZAINGIA DOSARI KIGOMA

 


MATUKIO  KATIKA  PICHA: Mashabiki wa klabu ya Simba SC na Yanga SC tawi la Kibirizi  baada ya shughuli ya kuhitimisha Wiki ya Mabingwa “Simba Day” sambamba na uzinduzi wa  Wiki ya Mwananchi, wakipata chakula cha pamoja ikiwa ni sehemu ya taratibu na desturi yao kwa miaka 11 wakiwa na sherehe zao.

Pia hushindana kwa kuchangia damu na kupata chakula cha pamoja japokuwa zoezi la uchagiaji damu liliingia dosari baada ya viongozi wa Red Cross kupata dharura
 
 
(Picha zote na Magreth Magosso,  Kigoma )








Post a Comment

0 Comments