UBUNGE JIMBO LA BUHINGWE NI HATARI MWAKA HUU

 

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Anosta Nyamoga(kushoto) akikabidhi Fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Manyovu kwa mgombea Ubunge wa jimbo hilo Sendwe Ibrahim wa kwanza kutoka kulia tayari kuipeperusha Bendera ya Chama Cha ACT- Wazalendo (Picha na  Magreth Magosso Kigoma). 

Post a Comment

0 Comments