WANAHABARI KIGOMA WAPEWA MAFUNZO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO

Waandishi wa Habari mkoani Kigoma wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu tawala wa mkoa huo Bw. Rashidi Kassim Mchata aliyemuwakilisha Mkuu wa mkoa huo Kamishina wa Polisi Thobias Andengenye  aliyekaa katikati  wakati wa mafunzo dhidi ya magonjwa ya mlipuko kwa waandishi wa habari yaliyofanyika Agost 15.2020.
 

Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Rashid Kassim Mchata akifuatilia jambo wakati wa mafunzo dhidi ya magonjwa ya mlipuko kwa waandishi wa habari mkoani humo, 

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari mkoani Kigoma Deogratius Nsokolo akiwa na Katibu wake Mwajabu Kigaza wakati wa mafunzo dhidi ya magonjwa ya mpuko kwa waandishi wa habari.

Baadhi ya waandishiwa habari mkoani Kigoma wakifuatilia mafunzo dhdi ya magonjwa ya mlipukoyaliyotolewa Agost 15, 2020. 

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari mkoani Kigoma Deogratius Nsokolo akizungumza wakati wa mafunzo dhidi ya magonjwa ya mlipuko yaliyotolewa kwa waandishi wa habari mkoani humo Agost 15, 2020.

Baadhi ya waandishiwa habari mkoani Kigoma wakifuatilia mafunzo dhdi ya magonjwa ya mlipuko yaliyotolewa Agost 15, 2020.



Mtaalamu wa Ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya mlipukoa Bw. Mololo Noah akizungumza wakati wa mafunzo dhidi ya magonjwa ya mlipuko kwa waandishi wa habari mkoani Kigoma.

Katibu Tawala wa mkoa wa Kigoma Bw. Rashidi Kassim Mchata akifungua mafunzo dhidi ya magonjwa ya mlipuko kwa waandishi wa habari mkoani Kigoma yaliyofanyika Agost 15, 2020 kwaniaba ya mkuu wa Mkoa wa Kigoma.

Dr Godfrey Smart aliyemuwakilisha Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Dr Simon Chacha akizungumza wakati wa mafunzo dhidi ya magonjwa ya mlipuko kwa waandishi wa habari mkoani Kigoma.


Post a Comment

0 Comments