WAPINZANI WAPOKEWA NA KUAPISHWA CCM

 

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM mkoa Amandusi Nzamba akikabidhi kadi ya CCM kwa wanachama wapya waliohamia CCM kutoka katika vyama Vya upinzani katika Kata ya Simbo Jimbo la Kigoma Kaskazini wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa mgombea ubunge Assa Makanika.

Baadhi ya wanachama wapya wa CCM kati ya waliorudisha kadi za upinzani kutoka vyama tofauti  wakiapishwa. 

Post a Comment

0 Comments