EDITHA KARLO WA KIGOMA PRESS CLUB ATWAA TUZO YA EJAT

 

Mwandishi wa blog ya Kigoma Press Club na Mwanachama wa Kigoma press Club Editha Karlo akiwa na tunzo aliyoshinda katika kundi la wazi aliyokabidhiwa hivi karibuni jijini Tanga katika mashindano ya tuzo za umahiri wa uandishi wa habari(Ejat) zinazotolewa na baraza la habari Tanzania (MCT).



Rais wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari Tanzania(UTPC) Deogratius Nsokolo akiwa na mwandishi wa blog ya kigoma press Editha Karlo baada ya kupokea  tunzo ya umahiri wa uandishi wa habari (Ejat) hivi karibuni katika hotel ya Tanga Beach Resort jijini Tanga.

Post a Comment

0 Comments