WAZIRI MKUU ATIA TIMU KUISAPORT TAIFA STARS

 


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alipokuwa akiwasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam leo tarehe 11 Oktoba, 2020 kushuhudia mechi ya kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Burundi na Timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars). 




Viongozi wengine waliofika kushuhudia mtanange huo ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe na Katibu Mkuu Habari ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi.





Post a Comment

0 Comments