SIKU YA TAKWIMU AFRIKA WAANDISHI WAPEWA TUZO

Mwandishi wa Habari wa gazeti la jamvi la Habari Veronica Romwald Mrema akipokea Cheti kutoka kwa Mkuu wa wilaya Kigoma Samson Anga baada ya kuibuka mshindi wa pili wa shindano la uandishi wa Habari za Takwimu lililokuwa likiendeshwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika hafla iliyofanyika mkoani Kigoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Takwimu Africa



 

Post a Comment

0 Comments