RAIS SAMIA ATOA MAAGIZO MCHAKATO WA MKOA WA CHATO

 


Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameagiza mchakato wa kuifanya wilaya ya Chato kuwa mkoa, ambao tayari umeshaanza, uendelee na serikali itajiridhisha kama vigezo vyote vinavyotakiwa vimetimia.

 

 

“Nina taarifa mchakato wa Chato kuwa mkoa umeanza, niwaagize kumaliza mchakato huo katika ngazi zenu mtuletee serikalini tutaangalia vigezo, kama vimekidhi hatuna budi kufanya hivyo, kama vigezo havikukidhi tutaelekeza mfanye nini ili vigezo vikidhi.

Post a Comment

0 Comments