MWAKALEBELA AFUNGIWA MIAKA MITANO

 


KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia miaka mitano Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela kujishugulisha na mpira wa miguu ndani na nje ya nchi kwa makosa ya kimaadili.




Post a Comment

0 Comments