WAANDISHI WA HABARI KIGOMA WATOA NENO KWA WATANZANIA WAKATI HUU WA SIKUKUU

 


Klabu ya Waandishi wa Habari mkoani Kigoma inawatakiwa watanzania wote kusherehekea sikukuu za Chrismas na mwaka mpya 2023 kwa amani na upendo bila kuvunja sheria za nchi, ni wajibu wakila mtanzania kulinda amani ya nchi na kuzuia uharifu.

Post a Comment

0 Comments