RAIS SAMIA AMUHAMISHA KITUO CHA KAZI ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA KIGOMA

Na Mwandishi Wetu, Kigoma
Rais wa Tanzania wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemuhamisha kituo cha kazi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Ester Alexander Mahawe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi.

Uteuzi huo umefanyika hii leo Januari 25, 2023 kwa wakuu wa wilaya wapya 37, kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao.

Post a Comment

0 Comments