MSHAHARA KIMA CHA CHINI Tsh 370,000/=: WAZIRI WA FEDHA

Na Mwandishi Wetu, Kigoma
Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonesha nia na jitihada kubwa katika kuboresha Utumishi wa Umma nchini kwa kuzingatia sera, sheria, kanuni na miongozo iliyopo. 

Kutokana na jitihada hizo mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na kupandisha madaraja watumishi 135,170 wenye sifa stahiki ambapo hadi Aprili 2023, jumla ya shilingi bilioni 177.9 zimetumika. 

"Kuongeza mishahara ya watumishi wa umma, ambapo kima cha chini cha mishahara kiliongezeka kutoka shilingi 300,000 hadi shilingi 370,000" amesema Mwigulu Nchemba

 

Post a Comment

0 Comments