WAZIRI MBALAWA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA UJENZI WA MELI MBILI NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MELI MKOANI KIGOMA





Na Mwandishi Wetu, Kigoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) Bw. Eric B. Hamissi na Mkurugenzi mtendaji kampuni ya Dearsan Shipyard kutoka nchini Uturuki wakitia saini mikataba ya ujenzi wa meli mbili za mizigo, moja Ziwa Victoria na nyingine Ziwa Tanganyika na ujenzi wa kiwanda cha kujenga meli mkoani Kigoma, mbele ya Waziri wa Uchukuzi Prof Makame Mbalawa aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo.

Mradi wa ujenzi wa meli hizo na kiwanda utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 630 na unatarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu

Hafla hiyo imefanyika hii leo jumatano October 11, 2023.

Post a Comment

0 Comments