SERIKALI WILAYA YA KIGOMA YATUMIA KLINIKI KUSIKILIZA CHANGAMOTO NA KERO ZA WANANCHI



Na Mwandishi Wetu, Kigoma
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Salum Hamis Kali amezungumza na wananchi katika Kliniki ya changamoto za wananchi iliyofanyika Mwanga Community Center Manispaa ya Kigoma Ujiji ambapo Idara zote zilikuwepo kwa ajili ya kutafuta changamoto hizo na kuzitatua.

Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Salum Hamis Kali akizungumza na wananchi katika Kliniki ya changamoto za wananchi iliyofanyika Mwanga Community Center Manispaa ya Kigoma Ujiji.

 

Baadhi ya wananchi waliofika katika Kliniki ya changamoto za wananchi iliyofanyika Mwanga Community Center Manispaa ya Kigoma Ujiji wakimsikiliza mkuu wa Wilaya ya Kigoma Salum Kali (Hayupo Pichani).
Wakuu wa Idara mbalimbali wakisubiri kutatua kero za wananchi katika Kliniki ya changamoto za wananchi iliyofanyika Mwanga Community Center Manispaa ya Kigoma Ujiji.
Wananchi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wakisubiri kusikilizwa kero zao.

Mwananchi akisikilizwa kero na changamoto zake idara ya Wakala wa barabarab za mijini na vijijini TARURA.

Idara ya ardhi ikiwasikiliza wananchi na kutatua kero zao.



Post a Comment

0 Comments