RAS KIGOMA AKABIDHI OFISI NA KUAGA WATUMISHI OFISI YA MKUU WA MKOA KIGOMA



Na Mwandishi Wetu, Kigoma
Aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Albert Msovela kisha kuhamishiwa Mkoa wa Katavi Albert Msovela Leo Machi 26, 2024 amekabidhi Ofisi kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Hassan Rugwa kisha kukutana na Menejiment pamoja na watumishi walio chini ya Vitengo na Sehemu  katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwa lengo la kuagana.

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma inamtakia kila la heri katika utekelezaji wa majukumu yake ya kuutumikia Umma katika kituo chake kipya cha kazi.

Post a Comment

0 Comments