Na Mwandishi Wetu, Tabora Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imewaasa wataalamu wa afya waliopata mafunzo ya Kadi Alama …
Na Mwandishi Wetu, Kambala Uganda WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Umoja wa Mataifa (UN) umeahidi kuimarisha kitengo cha maafa nchini pamoja na ku…
Na Mwandishi Wetu, Kampala - Uganda WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) katika mkuta…
Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha huduma za …
Na Mwandishi Wetu, Kasulu Kigoma. Ili kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu waratibu wa shughuli mbalimbali za kiserikali wilayani Kasulu mkoani Kig…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo imeipongeza Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika Marekebisho ya K…
Na, Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kuimarisha na kuwekeza kwenye Afya za vijana balehe hasa katika hali z…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Hali ya upatikanaji wa dawa muhimu na bidhaa nyingine za Afya (aina 290) katika vituo vya kutolea huduma za Afya vya…
Na Mwandishi Wetu, Kasulu Kigoma Halamshauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kupitia idara ya elimu sekondari imefanikiwa kushika nafasi ya kwanza…
Na Mwanidhi Wetu, Kigoma Jeshi la Polisi mkoani kigoma limefanikiwa kukamata silaha 16 zilizokuwa zinamilikiwa kinyume na sheria huku zaidi ya was…
Kuhusu Ugonjwa maambukizi ya ngozi ya juu ya gololi la jicho (Viral Conjuctivitis) maarufu kama red eyes 👀👀 Zingatia haya ujikinge: ➡️Usiguse guse …
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye n…
Na Mwandishi Wetu, Kigoma . Mahakama ya Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma imemuhukumu mshitakiwa Kwizera Nyakubusa (20) mkulima na mkazi wa Kitahana w…
Na Mwandishi Wetu, Kigoma . Jamii mkoani Kigoma imeshauriwa kuwakumbuka watu wenye uhitaji kwa kuwa nao wanayo haki ya kupata mahitaji muhimu ya bina…
Na. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa Suala la Lishe ni jambo kubwa ambalo limepewa kipaumbele katika Sekt…
Na Fadhili Abdallah,Kigoma WIZI wa mita za maji umetokea katika maeneo mbalimbali ya manispaa ya Kigoma Ujiji ambapo watu wasiojulikana wamedaiwa kui…
Na Isaac Aron, Kigoma Kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kigoma imetembelea ofisi za Maji Safi na Usafi wa Mazingira mkoani Kigo…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo Januari 07, 2024 limetangaza matokeo ya Mtihani Upimaji wa Kitaifa Kidato cha …
Na Mwandishi Wetu, Kigoma NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Deogratius Ndejembi amemuagiza Afisa Elimu Sekondari Mkoa wa Kigoma na Halmashauri…
FOLLOW US HERE