Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishina wa Polisi Thobias Andengenye (Wa kwanza kushoto) akipanda mti kwa kushirikiana na kilanja wa mazingira wa shule ya…
Na Emmanuel Michael, Kigoma Utoro kwa wanafunzi wa shule za msingi kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma umeelezwa kuchangiwa na b…
Pichani ni wafanyakazi wa Hifadhi ya Taifa ya Gombe, Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma na Wafanyakazi wa ofisi ya Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kigom…
Na Diana Rubanguka, Kigoma Wananchi wa kata ya Mwandiga ambao wamejitokeza kupata chanjo ya UVICO - 19 wamesema kutojali itikadi za vyama vya sia…
Wafanyabiashara wa soko la Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji wakiendelea na shughuri zao za kila siku Na Emmanuel Senny, Kigoma Wakati serikali iki…
Mmoja wa wananchi wilayani Kasulu akipata chanjo baada ya watoa huduma kuwafikia Na Deogratius Nsokolo Wananchi katika kata za nyachenda na asant…
Mganga mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji cha Mahembe kilichopo kata ya Mahembe Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma mkoani humo Daktari Elius Juma (katikat…
Na Mwandishi Wetu, Geita Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama, a…
Na Mwandishi Wetu, Geita Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan, amesema serikali itaendelea kuzienzi ndoto, na Fikra ch…
Na Mwandishi Wetu, Kigoma Zaidi ya Shilingi Bilioni 63 Zimepokelewa Katika Mfuko wa Maendeleo ya Jamii wa kunusuru kaya Masikini Mkoani Kigoma, …
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishina wa Polisi Thobias Andengenye, akizungumza na waandishi wa habari mkoani Kigoma, aliyekaa ni Rais wa Umoja wa Klabu…
Na Mwandishi wetu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wananchi hususani vijana wajiepushe na matumizi yasiyo sahihi ya Teknolojia ya Habari na Ma…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu fedha Sh1.3 trilioni za Mpango wa Maendeleo kwa ustawi wa Taifa na Mapamban…
Na Mwandishi Wetu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja wa RUWASA Wilaya ya Kilwa, kufanya utafiti wa kina wa maeneo ambayo yatawezesha upa…
Na Mapuli Misalaba, Shinyanga Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga leo imekabidhi vifaa saidizi kwa watu wenye ulemavu mbalimbali msaada am…
Na Mwajabu Hoza, Kigoma JAMII na ngazi ya familia imetakiwa kuwapa msaada watu wenye ulemavu na kuwashirikisha katika shughuli za kijamii na sio k…
FOLLOW US HERE